Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Mtwara tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji wao Ndanda Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Alhamisi kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona
Msafara wa Yanga ulipokelewa kwa shamrashamra na wenyeji wa mkoa huo

ADVERTISE HERE