Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam kesho Jumanne kuelekea mkoani Mtwara kuikabili Ndanda Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara
Mchezo huo utapigwa siku ya Alhamisi, April 04 kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona
Uongozi wa Yanga umesema wachezaji 20 na viongozi nane wakiwemo wa benchi la ufundi watajumuishwa katika msafara huo

ADVERTISE HERE