Fomu za uchaguzi Yanga kuanza kutolewa kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
1 Apr 2019
Fomu za uchaguzi Yanga kuanza kutolewa kesho

Kamati Maalum ya uchaguzi Yanga imetangaza kuanza kwa mchakato wa uchaguzi  kwa kuwaalika wagombea wa nafasi mbalimbali kujitokeza kuchukua fomu.

Fomu za kuwania nafasi za uongozi katika klabu ya Yanga zitaanza kutolewa kesho April 02 2019 Makao Makuu ya klabu ya Yanga Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam

April 07 ndio siku ya mwisho ya zoezi la utolewaji wa fomu.

Nafasi zinazowaniwa ni Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, na Wajumbe nane wa kamati ya utendaji. Uchaguzi utafanyika May 05 2019

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE →
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE →
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE →
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE →
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE →
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE →
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE →
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE →