Yanga imefanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la FA baada ya kuibuka na ushindi katika mchezo ambao ulikuwa mgumu sana
Haikuwa kazi rahisi kwa Yanga kushinda dhidi ya Alliance Fc ambayo kwa sasa ni moto wa kuotea mbali
Shukrani za kipekee zimwendee mlinda lango Klaus Kindoki aliyeokoa mikwaju miwili ya penati na kuisaidia Yanga kushinda kwa penati 4-3 baada ya matokeo ya sare ya bao 1-1
Kilichofuata baada ya ushindi ni shangwe na furaha kwa kila Mwana Jangwani...!




ADVERTISE HERE