Kindoki aipeleka Yanga nusu fainali kombe la FA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
30 Mar 2019
Kindoki aipeleka Yanga nusu fainali kombe la FA

Mlinda lango Klaus Kindoki leo ameibuka shujaa wa Yanga  baada ya kuokoa mikwaju miwili ya penati na kuihakikisha Yanga kutinga nusu fainali ya kombe la FA kwa ushindi wa penati 4-3 baada ya matokeo ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Alliance Fc

Kindoki amekuwa kwenye kiwango bora siku za karibuni, hakika ameendelea kuwa mtu muhimu sana katika kikosi cha Yanga kadiri siku zinavyosonga

Yanga leo ilimuhitaji Kindoki kuwa bora hasa wakati wa changamoto ya mikwaju ya penati ili kuweza kupata ushindi dhidi ya Alliance

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE →
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE →
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE →
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE →
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE →
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE →
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE →
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE →
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE →