Yanga yawasili Mwanza, tayari kuikabili Alliance Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Mar 2019
Yanga yawasili Mwanza, tayari kuikabili Alliance Fc

Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara, Yanga wamewasili salama jijini Mwanza tayari kwa mchezo wa kombe la FA (ASFC) dhidi ya Alliance Fc

Yanga imeondoka jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi kwa usafiri wa ndege kuwahi mchezo huo utakaopigwa keshokutwa Jumamosi katika uwanja wa CCM Kirumba

Msafara wa Yanga unajumuisha wachezaji 20, na viongozi nane wakiwemo wa benchi la Ufundi

Nyota waliokosa safari hiyo kutokana na sababu mbalimbali ni pamoja na Ibrahim Ajib, Abdallah Shaibu, Baruan Akilimali, Ramadhani Kabwili, Mwinyi Haji, Juma Abdul, Juma Mahadhi, Mohammed Issa, Maka Edward na Gadiel Michael.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’