Mara baada ya kutangazwa kwa kiasi kilichopatika kwa mwezi Machi, Kamati maalumu ya hamasa na uchangishaji imefanya kikao kingine maalumu kwa kujadili changamoto kadhaa na kuweka mikakati ya kufanikisha zaidi suala hili kwa mwezi April
Kamati hiyo inayoongozwa na Mh Anthony Mavunde, ilijiwekea malengo ya kukusanya Bil 1.5, fedha ambazo zinapaswa kupatikana kabla ya mwisho wa mwezi wa nne ili kuanza mapema mchakato wa usajili
Jana Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh alitangaza kiasi cha fedha zilizokusanywa tangu kuanza kwa zoezi la uchangiaji kuwa ni Tsh Milioni 60



ADVERTISE HERE