Hawa hapa viongozi wa muda Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2019
Hawa hapa viongozi wa muda Yanga

Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la Yanga Mh George Mkuchika ametangaza Kamati ya watu saba ambayo itaisimamia klabu Yanga mpaka pale itakapofanya uchaguzi April 28 2019

Kamati hiyo itaongozwa na;

Lucas Mashauri (Mwenyekiti)

Said Ntimizi (Makamu Mwenyekiti)

Wajumbe

Hussein Ndama

Moses Katabaro

Maulid Kitenge

Hussein Nyika

Samwel Lukumay

Aidha Kamati ya uchaguzi itaundwa na;

Sam Mapande, Daniel Mlelwa, Mustapha Nagali, Godfrey Mapunda, Edward Mwakingwe, Samwel Mangesho, Issa Gavu, Venance Mwamoto, Seif Gulamali na Dastan Kitandula

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’