Wachezaji 20 Yanga kuifuata Alliance Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2019
Wachezaji 20 Yanga kuifuata Alliance Fc

Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka kesho Alhamisi asubuhi kuelekea mkoani Mwanza tayari kwa mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Alliance Fc

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, March 30 katika dimba la CCM Kirumba

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema wachezaji 20 na viongozi nane wakiwemo wa benchi la ufundi wataondoka mapema kesho kuelekea Mwanza kwa usafiri wa Ndege

Akizungumzia maandalizi ya mchezo huo, Ten amesema wamefanya maandalizi ya kutosha na wana matumaini makubwa ya kupata matokeo yatakayowavusha hatua ya nusu fainali

Ten amesema hawaihofii Alliance Fc ambayo iliweka kambi nchini Rwanda kujiandaa na mchezo huo

Baadhi ya wachezaji ambao wataukosa mchezo huo ni beki Abdallah Shaibu 'Ninja', Gadiel Michael, Juma Mahadhi, Baruani Akilimali na Ramadhani Kabwili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’