Mlinzi wa pembeni wa Yanga Gadiel Michael ameelekea nchini Afrika Kusini kufanya majaribio katika klabu ya Bidvest Wits inayoshiriki ligi kuu
Gadiel aliyen'gara katika kikosi cha Stars ambacho juzi kilifuzu kutinga fainali za michuano ya AFCON 2019, atafanya majaribio katika klabu hiyo kwa muda wa wiki mbili
Bila shaka kama atafuzu majaribio hayo, atafungua njia kwa wachezaji wengine kuelekea nchini humo
ADVERTISE HERE