Wachezaji Stars waitwa Ikulu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Mar 2019
Wachezaji Stars waitwa Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli amewaalika Ikulu wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' pamoja na Bondia Hassani Mwakinyo aliyemtwanga Muargentina Sergio Eduardo katika pambano lililofanyika juzi nchini Kenya

Kulingana na taarifa iliyotolewa mapema leo na msemaji wa Ikulu Gerson Msigwa, Rais Magufuli atatoa pongezi kwao na kula nao chakula cha mchana

Jana Stars ilifanikiwa kufuzu fainali za AFCON 2019 baada ya kusubiri kwa miaka 39 ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda katika mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
51m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’