Kikosi cha Yanga kimerejea salama jijini Dar es salaam kutoka mkoani Iringa ambako jana kilipoteza mchezo dhidi ya Lipuli Fc
Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema wametoa mapumziko ya siku tatu kwa wachezaji wote
Yanga itaanza mazoezi siku ya Jumatano kujiandaa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Alliance Fc utakaopigwa jijini Mwanza
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa March 28 2019
ADVERTISE HERE