Mchezo wa kwanza wa watani wa jadi utapigwa Oktoba 28, 2017 kulingana na ratiba mpya iliyotolewa na shirikisho la soka nchini TFF.
Mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa Oktoba 14 katika dimba la Uhuru.
Aidha ratiba hiyo mpya pia inaonyesha michezo yote ya nyumbani ya Azam FC dhidi ya Yanga na Simba itapigwa kwenye dimba lao Azam Complex, Chamazi.
Uwanja wa Azam Complex unajazwa na mashabiki 7000 pekee waliokaa.
Tayari kumeibuka malalamiko kutoka kwa mashabiki wa timu hizo kubwa zaidi Tanzania wakihofia wengi watakosa fursa ya kuushuhudia mchezo huo.
Simba ndio itakuwa na kwanza kuchuana na Azam kwenye dimba hilo, Jumamosi Septemba 09.

ADVERTISE HERE