Mlinda lango Ramadhani Kabwili ni mchezaji pekee kutoka Yanga aliyeitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya vijana U20 kitakachocheza mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Eritrea
Mchezo huo utapigwa March 31 2019
Kikosi kamili

ADVERTISE HERE