Sare kwetu ni sawa na kupoteza - Kamusoko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Mar 2019
Sare kwetu ni sawa na kupoteza - Kamusoko

Kiungo fundi wa Yanga Thabani Kamusoko amesema kesho watashuka katika uwanja wa Samora mkoani Iringa kusaka alama tatu muhimu ili kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi

Kamusoko amesema kila mchezo wanasaka alama tatu, matokeo ya sare kwao ni sawa na kupoteza

"Sisi kwetu kutoka sare ni sawa na kufungwa. Ukiwa mchezaji wa Yanga, ukiingia uwanjani mawazo yote yako kwenye ushindi," amesema Kamusoko

"Hatupendi kufungwa wala kutoka sare, ndio maana huwa tukipoteza mchezo tunasikitika sana"

Kamusoko yuko na kikosi cha Yanga mkoani Iringa na huenda kesho akavaa kitambaa cha unahodha kuiongoza Yanga katika mchezo dhidi ya Lipuli Fc kesho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
51m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’