Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga wako mkoani Iringa ambapo kesho Jumamosi March 16 watashuka katika uwanja wa Samora kuikabili Lipuli Fc katika mchezo wa ligi kuu, mzunguuko wa 31
Lipuli Fc ambao ndio wenyeji, wameweka hadharani viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa kumi jioni

ADVERTISE HERE