Kuziona Stars vs Uganda ni buku mbili tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Mar 2019
Kuziona Stars vs Uganda ni buku mbili tu

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Jumapili ya March 24 2019 itashuka katika dimba la Taifa kuikabili timu ya Taifa ya Uganda kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za michuano ya AFCON 2019 zitakazofanyika nchini Misri mwezi Juni mwaka huu

Tayari kocha Mkuu wa Stars Emmanuel Amunike ametaja majina ya wachezaji 25 wanaounda kikosi cha timu hiyo wakitarajiwa kuingia kambini mwishoni mwa wiki

TFF imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambapo kiingilio cha chini kabisa ni Tsh 2000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
16h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’