Mechi nne tu zimebaki mikoani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Mar 2019
Mechi nne tu zimebaki mikoani

Baada ya ushndi wa bao 1-0 dhidi ya Allaince leo, Yanga imebakiza michezo minne tu nje ya jiji la Dar es salaam

Ikiwa imeshuka dimbani mara 26, Yanga ina michezo 12 ya kupigania ubingwa ambapo itasafiri mikoani kuzikabili Mtibwa Sugar, Lipuli Fc, Ndanda Fc na Biashara United

Michezo mingine sita Yanga itakuwa mwenyeji wakati mchezo mmoja itakuwa ugenini dhidi ya Ruvu Shooting na mwingine ugenini dhidi ya Azam Fc

Ruvu Shooting na Azam Fc zinatumia uwanja wa Taifa kwa michezo dhidi ya Yanga. 

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’