Kikosi cha Yanga jana jioni kilifanya mazoezi katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Butimba nje kidogo ya jiji la Mwanza kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Alliance Fc
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa CCM Kirumba
Yanga iliwasili Mwanza jana asubuhi ikiwa na msafara uliojumuisha wachezaji 20
Leo jioni mazoezi yatafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba
ADVERTISE HERE