Yeyote aje robo fainali ASFC - Kaseke

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Feb 2019
Yeyote aje robo fainali ASFC - Kaseke

Jana jioni Azam Fc ilikuwa timu ya nane kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la FA (ASFC) baada ya kuilaza Rhino Rangers mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex

Kuelekea droo ya hatua ya robo fainali, winga wa Yanga Deus Kaseke amesema timu hiyo iko tayari kuchuana na timu yoyote katika hatua ya robo fainali

Kaseke amesema kikosi cha Yanga kimekuwa kikijiandaa kupambana na timu yoyote inakuja mbele yao

"Siri ya ushindi ni kujituma na kufuata maelekezo ya kocha, tupo tayari kukutana na timu yoyote kwenye robo fainali," amesema Kaseke.

Kaseke alihusika kwenye ushindi wa Yanga dhidi ya Namungo Fc krosi yake ya dakika ya 83 ikitendewa haki na Heritier Makambo kuifungia Yanga bao la ushindi

Timu zilizotinga robo fainali ni Yanga, Azam fc, Kagera Sugar, KMC, African Lyon, Singida United, Lipuli Fc na Alliance Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’