Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo Fc, Yanga iliungana na timu nyingine saba kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la Azam (ASFC)
Timu nyingine zilizotinga robo fainali ni Azam fc, Kagera Sugar, KMC, African Lyon, Singida United, Lipuli Fc na Alliance Fc
ADVERTISE HERE