Jana Yanga ilivunja rekodi nyingine mkoani Lindi kwa kuwa ya timu ya kwanza kupata ushindi dhidi ya Namungo Fc katika uwanja wa Majaliwa kwa kuichapa bao 1-0 kwenye mchezo wa kombe la Azam, raundi ya tano
Ushindi huo uliopatikana katika dakika ya 83 kwa bao la Heritier Makambo, umeipeleka Yanga hatua ya robo fainali
Matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mchezo huo;







ADVERTISE HERE