Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Klabu ya Yanga, Mustapha Ulungo amefariki dunia leo
Msiba upo nyumbani kwake Temeke ambapo mwili wa marehemu utasafirishwa kwenda Ikwiriri kwa ajili ya mazishi kesho Saa Saba Mchana
Mwenye ez Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema, AMEN
ADVERTISE HERE