Msafara wa kikosi cha Yanga umewasili salama Wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi tayari kwa mchezo wa kombe la FA (ASFC), raundi ya tano dhidi ya Namungo Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Majaliwa
Mapokezo ya Yanga wilayani humo yalikuwa 'si ya kitoto' kwani idadi kubwa ya wananchi walijitokeza kuikaribisha timu yao

ADVERTISE HERE