Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza Kamati maalum ya kusaidia Taifa Stars ishinde mchezo dhidi ya Uganda utakaopigwa mwezi ujao ili iweze kutinga fainali za AFCON zitakazofanyika nchini Misri baadae mwaka huu
Kamati hiyo yenye watu 14 itaongozwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda

ADVERTISE HERE