Yanga 'kibaruani' Mwanza leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Feb 2019
Yanga 'kibaruani' Mwanza leo

Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga leo jioni wanashuka uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza kuikabili Mbao Fc katika mchezo unaotarajiwa kuanza saa kumi kamili jioni

Yanga iko Mwanza tangu juzi ikifanya maandalizi ya mchezo huo ambapo jana jioni ilifanya mazoezi ya mwisho katika dimba la CCM Kirumba litakalotumika leo

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema amekiandaa kikosi chake kikamilifu kuhakikisha leo wanafuta uteja dhidi ya Mbao Fc kwa kuondoka na alama zote tatu mkoani Mwanza

Matokeo ya ushindi yataifanya Yanga iendelee kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi na kujiwekea mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’