Ligi Kuu ya Tanzania Bara inazidi kuyoyoma kuelekea ukingoni ambapo kesho inaingia mzunguuko wa 28
Wakati Yanga ikitarajiwa kushuka dimbani keshokutwa mkoani Mwanza kuikabili Mbao Fc, wapinzani wao Simba wao wako Arusha na watakuwa dimbani kesho kupepetana na African Lyon

Licha ya kupoteza mchezo dhidi ya Simba, Yanga imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa imejikusanyia alama 58
Azam Fc iko nafasi ya pili ikiwa imejikusanyia alama 49 huku Simba ikishika nafasi ya tatu ikiwa na alama 49
ADVERTISE HERE