Paulo Godfrey 'Boxer' jana aliwaweka katika wakati mgumu mkongwe Emmanuel Okwi na beki wa kushoto wa Simba Mohammed Hussein 'Tshabalala' ambapo mara kadhaa walilazimika kumfanyia madhambi kinda huyo aneyekuja kwa kasi
Boxer alikuwa 'injini' ya mashambulizi ya Yanga, kasi yake ikiwapa wakati mgumu walinzi wa Simba
Alikuwa sababu ya Tshabalala kushindwa kupanda na Simba kulazimika kutumia zaidi upande wa kulia kupanga mashambulizi yao
Katika mchezo wa jana Boxer alionyesha ukomavu na hakika hili ni 'jembe la kazi'
Boxer alipandishwa kikosi cha kwanza na kocha Mwinyi Zahera mwanzoni mwa msimu huu
ADVERTISE HERE