Tumpe pesa Zahera, msimu ujao tutaipenda Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Feb 2019
Tumpe pesa Zahera, msimu ujao tutaipenda Yanga

Binafsi nimefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na Yanga leo kwenye mchezo dhidi ya Simba licha ya kupoteza mchezo huo

Ni bahati mbaya tu matokeo hayakuwa upande wetu, lakini hakika kazi imefanyika, wachezaji na benchi la Ufundi wanastahili pongezi

Ni mwito kwa Wana Jangwani kuendelea kuichangia timu ipate uwezo wa kufanya mabadiliko makubwa msimu ujao

Kwa sasa hakuna njia ya mkato, ni lazima Wana Yanga tujitoe kuisaidia timu wakati mipango mingine ikiendelea

Kocha Mwinyi Zahera ameonyesha njia, Wana Jangwani hatupaswi kumuangusha.

Licha ya mazingira yaliyopo, Zahera ameweza kutengeneza timu inayoweza kupambana

Hakuna shaka akipatiwa uwezo atafanya mambo makubwa zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’