TFF yakata mzizi wa fitina, Ninja asilimia 100 kuivaa Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Feb 2019
TFF yakata mzizi wa fitina, Ninja asilimia 100 kuivaa Simba

Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mapema leo, imeondoa hofu kwa Yanga kumtumia beki Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mchezo dhidi ya Simba kesho.

Taarifa hiyo imesema Kamati ya Nidhamu ya TFF imeridhia ombi la Yanga la kuahirisha kusikiliza shauri la Ninja kutokana na beki huyo kuwa anakabiliwa na majukumu ya timu yake akiwa mkoani Tanga wakati alipoitwa kwenye kikao cha Kamati hiyo

"Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeridhia ombi la Yanga la kuahirisha kusikiliza shauri dhidi ya Abdallah Shaibu kwa vile wakati anapata mwito wa kuhudhuria akiwa mkoani," imesema taarifa ya TFF

"Sasa shauri dhidi yake litasikilizwa katika kikao kijacho, na Kamati haitapokea udhuru wowote isipokuwa kama atakuwa na majukumu katika timu ya Taifa"

Hii ni habari njema kwa Yanga ambayo sasa haina hofu ya kumtumia beki huyo aliyeimarisha kiwango chake siku za karibuni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
37m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’