Nyika amtahadharisha mwamuzi mchezo dhidi ya Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Feb 2019
Nyika amtahadharisha mwamuzi mchezo dhidi ya Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga Hussein Nyika amemtaka Hans Mabena ambaye ndiye atakuwa mwamuzi wa mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa keshokutwa Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa, achezeshe mchezo huo bila upendeleo

Nyika amesema wanatambua Mabena ni mwamuzi mzuri lakini wanamkumbusha kuwa ahakikishe anachezesha mchezo huo kwa kufuata Sheria 17 za mpira wa miguu

"Hatuna tatizo na uteuzi wa Mabena kuchezesha mchezo wetu dhidi ya Simba lakini tunamkumbusha afuate sheria 17 za mchezo wa soka ili mshindi wa mchezo huo apatikane kihalali," amesema Nyika

"Haitakuwa mara ya kwanza kwake kuchezesha michezo ya Yanga, tumetoa tahadhari kutokana na uzoefu tulioupata kutoka michezo yetu ambayo amewahi kuchezesha"

Aidha kuelekea mchezo wa keshokutwa, Nyika amesema maandalizi ya kikosi cha Yanga mkoani Morogoro yanaendelea vizuri, wachezaji wana ari kubwa kuelekea mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
34m ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’