Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro ikijiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi ijayo, Februari 16 kwenye dimba la Taifa
Mazoezi ya mabingwa hao wa kihistoria yanafanyika kwenye uwanja wa Bigwa nje kidogo ya mji wa Morogoro









ADVERTISE HERE