Matokeo TPL, Azam Fc yadondosha pointi Iringa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Feb 2019
Matokeo TPL, Azam Fc yadondosha pointi Iringa

Michezo sita ya ligi kuu ya Tanzania Bara ilipigwa leo katika viwanja mbalimbali

Wapinzani wa Yanga kwenye mbio za ubingwa Azam Fc wamedondosha pointi mkoani Iringa baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Lipuli FC

Azam Fc imefikisha alama 49 na inaendelea kubaki katika nafasi ya pili ikiwa imeachwa pointi tisa na vinara wa ligi hiyo Yanga

Katika mchezo wa mapema, Mbao Fc ilikubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Coastal Union katika mchezo uliopigwa dimba la CCM Kirumba mkoani Mwanza

Matokeo mengine;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’