Ninja akacha kikao cha Kamati ya Nidhamu TFF, yuko dimbani leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Feb 2019
Ninja akacha kikao cha Kamati ya Nidhamu TFF, yuko dimbani leo

Beki Abdallah Shaibu Ninja atakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoikabili JKT Tanzania leo katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara unaotarajiwa kupigwa saa kumi jioni dimba la Mkwakwani

Ninja alitakiwa kuhudhuria kikao cha Kamati ya Nidhamu ya TFF kinachofanyika jijini Dar es salaam leo kujitetea kuhusu tuhuma za kumpiga kiwiko mchezaji wa Coastal Union katika mchezo uliopita baina ya Coastal Union na Yanga uliomalizika kwa sare ya bao 1-1

Uongozi wa Yanga umeamua kumtumia Ninja kwenye mchezo wa leo bila ya kujali adhabu ambayo itamkabili baada ya kikao hicho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’