Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limesisitiza hakuna mabadiliko ya tarehe ya mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba uliopangwa kupigwa Februari 16 2019 katika uwanja wa Taifa
Simba iliomba mchezo huo usogezwe mbele kwa kuwa uko karibu na mchezo wao wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Februari 12 kwenye dimba la Taifa

ADVERTISE HERE