Ngasa, Kaseke kuuwasha moto 'Singidani' kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Feb 2019
Ngasa, Kaseke kuuwasha moto 'Singidani' kesho

Juzi winga Mrisho Ngasa aliupiga mpira 'mwingi' kwenye dimba la Mkwakwani wakati Yanga ikilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Coastal Union

Katika mchezo huo bao la Yanga lilifungwa na Deus Kaseke aliyeingia katika kipindi cha pili kuchukua nafasi ya nahodha Ibrahim Ajib

Licha ya kutopata nafasi ya kuanza mara kwa mara, juzi Kaseke alimpa Zahera sababu ya kumuanzisha kwenye mchezo wa kesho dhidi ya timu yake ya zamani, Singida United

Yanga tayari iko mkoani Singida na leo jioni itajifua katika uwanja wa Namfua tayari kwa mchezo huo utakaopigwa kesho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’