Simba yaingia 'mchecheto' kuikabili Yanga Februari 16

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Feb 2019
Simba yaingia 'mchecheto' kuikabili Yanga Februari 16

Wakati mashabiki wa Simba wakitamba kuwa Feb 16 watamaliza machungu ya kufungwa mabao 10 katika michezo miwili ya ligi ya mabingwa, uongozi wa klabu hiyo unadaiwa kuandika barua kwa Bodi ya ligi ukiomba mchezo wa watani wa jadi uliopangwa kupiga Feb 16 uahirishwe

Simba ambayo ilikuwa 'likizo' ya kutoshiriki michezo ya ligi kuu kutokana na ushiriki wake wa michuano ya ligi ya mabingwa, itacheza na Mwadui Fc Februari 07 kabla ya kuumana na Al Ahly Februari 12 katika uwanja Taifa

Wakati huo huo kikosi cha Yanga kitawasili leo mkoani Singida tayari kuwakabili Singida United katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa Jumatano, Februari 06 2019

Baada ya mchezo huo Yanga itarejea tena jijini Tanga kuikabili JKT Tanzania Februari 09 2019

Kulingana na ratiba hiyo baada ya kumaliza mchezo dhidi ya JKT Tanzania, Yanga haitashuka tena dimbani mpaka Februari 16 itakapoumana na Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’