Kampeni ya kuichangia klabu ya Yanga tayari imezinduliwa rasmi na sasa ni wakati wa kila Mwana Jangwani kuhusika katika kuijenga Yanga mpya yenye mafanikio
Kila Mwana Jangwani anapaswa kujiwekea malengo ya kuchangia kila mwezi kiwango cha chini kikipendekezwa kuwa Tsh 2,500/-
Kwa kiwango hicho kilichopendekezwa kama kila mmoja atatimiza wajibu wake, Yanga itakusanya takribani Bil 12 na Milioni 500 kwa wachangiaji Milioni tano
Fedha hizi zitatumika kulipa mishahara ya wachezaji, kusajili wachezaji lakini pia kumalizia ujenzi wa uwanja wa Yanga

Kuchangia kupitia CRDB Bank
Akaunti : 0150419775800
MPESA
Namba : 5688660
Jina : Young Africans Club
TIGOPESA
Namba : 101120
Jina : Yanga

ADVERTISE HERE