Kikosi cha Yanga kiko mkoani Tanga ambapo leo jioni kimefanya mazoezi yake ya mwisho katika dimba la Mkwakwani tayari kuwakabili wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili, Februari 03 hapo katika uwanja wa Mkwawani

Licha ya kuwa ugenini hapo kesho, Yanga inatarajiwa kupata uungwaji mkono wa mashabiki wengi katika jiji la Tanga.
ADVERTISE HERE