Ligi Kuu ya Tanzania Bara tayari imeingia mzunguuko wa 24 kwa baadhi ya timu na leo michezo minne inatarajiwa kupigwa
Vinara wa ligi hiyo Yanga wao watashuka dimbani Jumapili, Feb 03 jijini Tanga kuwakabili wagosi wa kaya, Coastal Union katika mchezo unaotarajiwa kuwa mgumu kutokana na historia ya timu hizo zinapokutana kwenye dimba la Mkwakwani
Ratiba ya michezo ya wikiendi

ADVERTISE HERE