Ratiba sio rafiki kwetu, tutapambana - Hafidh

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2019
Ratiba sio rafiki kwetu, tutapambana - Hafidh

Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema baada ya mchezo wa jana wa kombe la FA dhidi ya Biashara United, kikosi cha Yanga kinaelekea mkoani Tanga kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa keshokutwa Jumapili

Hafidh amesema Yanga inakabiliwa na ratiba isiyo rafiki kutokana na ukaribu wa michezo yake hata hivyo amesema hawana jinsi, watapambana kuhakikisha wanafanya vizuri katika michezo yao yote.

Baada ya mchezo dhidi ya Coastal Union Yanga itaelekea mkoani Singida kuikabili Singida United kisha kurudi tena Tanga kuikabili JKT Tanzania

Mtiririko wa ratiba hii umewashangaza wengi kwani kama ingepangwa vizuri, Yanga ingeweza kucheza michezo yote miwili ya mkoani Tanga kisha kuelekea mkoani Singida

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’