Moyo wa Manji umewekewa vyuma kumsaidia kupumua

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Aug 2017
Moyo wa Manji umewekewa vyuma kumsaidia kupumua
Daktari katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu namna walivyouchunguza moyo wa mfanyabiashara Yusuf Manji.

Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Profesa Mohammed Janabi (51) ametoa ushahidi wa upande wa utetezi katika kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili Manji.

Profesa Janabi ameieleza Mahakama jinsi walivyoangalia vyuma vilivyopo kwenye moyo wa Manji kama vimeziba au la.

Akiwa shahidi wa kwanza wa upande wa utetezi, Profesa Janabi aliongozwa na wakili Hajra Mungula kutoa ushahidi mbele ya Hakimu Mfawidhi, Cyprian Mkeha.

Manji ambaye katika hati ya mashtaka jina lake ni Yusufali Manji, alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Februari 16 akidaiwa kati ya Februari 6 na 9 katika eneo la Sea View, Upanga wilayani Ilala alitumia dawa za kulevya aina ya Heroin
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
4h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’