kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omary Kaya na Nahodha wa timu hiyo Ibrahim Ajib jana walikuwa miongoni mwa wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Haji Manara na uzinduzi wa pafyumu ya De la Boss inayomilikiwa na Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara
Hafla hiyo ambayo ilihidhuriwa na watu maarufu, ilifanyika hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam

Katika kuchangia Taasisi hiyo iliyoanzishwa na Manara kwa lengo la kuwasaidia watu wenye ulemavu wa ngozi, Ajib alinunua pafyumu kwa shilingi laki tano
ADVERTISE HERE