Azam Fc, Simba zashikilia ubingwa wa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jan 2019
Azam Fc, Simba zashikilia ubingwa wa Yanga

Kwa sasa vita ya ubingwa wa ligi kuu imebaki kwa timu tatu tu, Yanga, Azam Fc na Simba.

Yanga ndio ina nafasi nzuri zaidi ya kutwaa ubingwa kama itachanga karata zake vyema

Ikiwa inaongoza ligi kwa tofauti ya alama sita dhidi ya Azam Fc, Yanga haipaswi kufungwa katika michezo miwili itakayocheza na wauza ice cream hao

Yanga na Azam Fc bado hazijacheza mchezo wa mzunguuko wa kwanza na zitachuana kwenye mchezo wa mzunguuko wa pili pia

Aidha Yanga pia haipaswi kupoteza mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa Februari 16 katika dimba la Taifa

Baada ya kulazimisha suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo wa mzunguuko wa kwanza, Februari 16 Yanga inapaswa kuondoka na alama zote tatu dhidi ya watani zao hao ambao wameonyesha kuwa sio timu ya kuhofia tena.

Alama tisa (tatu za Simba na sita za Azam Fc) huenda zikaamua hatma ya ubingwa kwa kikosi cha Yanga msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’