Yanga Princess yazinduka, yajipigia Mapinduzi Queens 6-0

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jan 2019
Yanga Princess yazinduka, yajipigia Mapinduzi Queens 6-0

Baada ya kuwa na mwenendo usio wa kuridhisha katika michuano ya ligi kuu ya Wanawake, Yanga Princess leo imezinduka na kuifumua Mapinduzi Queens maao 6-0

Akina dada wa Yanga Princess walitaka kwenye mchezo huo uliopigwa dimba la Karume wakicheza kandanda safi iliyowahakikishia kuibuka na ushindi huo mnono kwa mara ya kwanza kwenye ligi hiyo

Ushindi huo utaongeza morali ya wachezaji ambao walianza ligi kwa kishindo kabla ya kupoteana katika michezo minne iliyopita na kujikuta wakifungwa idadi kubwa ya mabao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’