Lothi aanza mazoezi mepesi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2019
Lothi aanza mazoezi mepesi

Baada ya kuwa nje kwa zaidi ya wiki sita kutokana na majeruhi, kiungo wa Yanga Raphael Daudi Lothi ameanza mazoezi mepesi yatakayomrejesha dimbani

Lothi ameungana na Juma Mahadhi katika program hiyo

Mahadhi hajaonekana dimbani tangu kuanza kwa msimu huu

Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema kurejea kwa wachezaji waliokuwa majeruhi kumeimarisha kikosi

Wachezaji wengine waliokuwa majeruhi na tayari wamerejea kikosini ni Papi Tshishimbi na Thabani Kamusoko ambao walicheza mchezo wa SportPesa dhidi ya K. Sharks

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’