Kocha wa timu ya Taifa, Salum Mayanga leo amemuongeza winga anayekuja kasi Emanuel Martini kwenye kikosi cha timu hiyo kinachojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Botswana.
Martini amestahili kuitwa kwenye kikosi cha Stars kutokana na kiwango bora alichoonyesha tangu kuanza kwa msimu huu.
Martini anaungana na wachezaji wengine wa Yanga, Ramadhani Kabwili, Gadiel Michael, Kelvin Yondani na Raphael Daudi walioitwa awali

ADVERTISE HERE