Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) imemfungia maisha Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura kujihusisha na masuala yote yanayohusiana na Mpira wa Miguu
Wambura amekumbana na rungu hilo la FIFA ikiwa ni wiki chache zimepita tangu Makakama imrudishe katika nafasi yake baada ya kushinda kesi dhidi ya TFF

ADVERTISE HERE