Yanga Princess inakamilisha ratiba tu ligi ya Wanawake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jan 2019
Yanga Princess inakamilisha ratiba tu ligi ya Wanawake

Akina dada wa Yanga Princess leo wanashuka dimba la Karume kuwakabili Evergreen Queens katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake

Mpaka sasa Yanga Princess imeshinda michezo miwili tu na kupoteza michezo mitano, ikipokea vipigo vizito michezo mitatu iliyopita

Ilifungwa 7-0 na Simba Queens, ikachapwa 4-1 na Baobab Queens na majuzi ikatandikwa 8-1 na JKT Queens

Ni dhahiri Yanga haikuwa imejipanga kuendesha timu ya Wanawake msimu huu na pengine kinachotakiwa kufanyika ni kuhakikisha timu hiyo haiteremki daraja ili msimu ujao kiundwe kikosi imara

Tofauti na ligi kuu, ligi ya Wanawake ina mdhamini (Bia ya Serengeti) na ushindani katika ligi hiyo umeanza kuongezeka

Yanga Princess ilipanda daraja mwaka jana kwa kuibuka mabingwa wa ligi daraja la kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’