Tulikosa bahati - Zahera

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jan 2019
Tulikosa bahati - Zahera

Kocha Mkuu wa Yanga Miwnyi Zahera amesema timu yake leo haikuwa na bahati katika mchezo dhidi ya Stand United.

Mchezo huo uliomalizika kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa bao 1-0, uliishuhudia Yanga ikishindwa kuzitumia nafasi kadhaa ilizotengeneza

Akizungumza baada ya mchezo huo Zahera amesema Yanga ilitengeneza nafasi tatu lakini ilishindwa kuzitumia wakati Stand United wamepata nafasi moja tu na kuitumia

"Hatukuwa na bahati kwenye mchezo wa leo. Tulilazimika kucheza mipira ya juu kutokana na hali ya uwanja,tumepiga krosi nyingi ila wachezaji walikosa bahati ya kufunga," amesema Zahera

"Stand United hawajafanya maajabu yoyote, wamepata nafasi moja na kuweza kuitumia"

Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam kesho kwa ajili ya kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup ambapo Jumanne itashuka dimbani kupambana na K Sharks kwenye mchezo wa robo fainali

Michuano hiyo inaanzia hatua ya robo fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’